Haki ya mwajiri kukata ujira kwa kiasi kifaacho kisheria

Waajiri wana wajibu wa  kukata kutoka kwa ujira wa mwajiriwa kiasi chochote cha hela kilichoidhinishwa na sheria iliyoandikwa. Sehemu ya 19 (1f) ya sheria ya ajira  inaeleza kuwa mwajiri anaweza kukata kutoka kwa mshahara wa mwajiriwa kiasi  cha hela kutoka kwa ujira wake kama mchango wa mwajiriwa huyo kwa akiba za kimsingi au akiba zozote zilizoidhinishwa na kamishena wa Leba na ambazo mwajiriwa ameridhia kutoa kutoa mchango kwazo. Katika kesi ya Javan Were Mbango  dhidi ya kampuni ya H.Young (Afrika Mashariki) (2012) eKLR mahakama ilishikilia kwamba mwajiri yeyote  lazima ahahakikishe kwamba helo zozote zinazohitaji kukatwa kutoka kwa mshahara wa mwajiri zimekatwa kutoka kwa mshahara wake jumla  kwa mujibu wa sheria. Mwajiri kwa maana hiyo ana wajibu wa kukata kiasi chochote cha hela kilichoidhinishwa kisheria , makubaliano ya pamoja kati ya mwajiri na mwajiriwa,  kutoka kwa mshahara wa mwajiriwa, maamuzi ya ulipaji ujira, agizo la mahakama ama  tuzo llilotokana na mapatano ya aina fulani. Rejelea tovuti:

http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/87349

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s