Haki ya mwajiri kukata ujira kwa siku ambazo kazi haijafanyika

Waajiri wana wajibu wajibu wa kukata ujira wa mwajiriwa kwa kipindi atachokosa kuhudhuria majukumu yake kazini. Sehemu ya 19 (1f) ya sheria ya ajira  inaeleza kuwa mwajiri anaweza kukata kutoka kwa mshahara wa mwajiriwa kiasi  cha hela kutoka kwa ujira wake kama mchango wa mwajiriwa huyo kwa akiba za kimsingi au akiba zozote zilizoidhinishwa na kamishena wa Leba na ambazo mwajiriwa ameridhia kutoa kutoa mchango kwazo.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s