Mwajiri ana wajibu wa kukata kiwango cha hela zinzohitajika katika akiba za kimsingi za mwajiriwa.

Mwajiri ana wajibu wa kukata kiwango cha hela zinzohitajika katika akiba za kimsingi za mwajiriwa.

Sehemu ya 19 (1a) ya sheria ya ajira inaeleza kuwa mwajiri anaweza kukata kutoka kwa ujira wa mwajiriwa wake kiasi fulani cha hela kutoka kwa ujira wake kama mchango wa mwajiriwa huyo kwa akiba za kimsingi au akiba zozote zilizoidhinishwa na kamishena wa Leba na ambazo mwajiriwa ameridhia kutoa kutoa mchango kwazo. Katika kesi ya Emmanuel Ocieng Onyango  dhidi ya Metal Cans and Closure Kenya limited na mwingine (2018) eKLR. Mahakama katika kuzingatia yaliyomo kwenye sehemu ya 19 ya sheria ya ajira ilisema kuwa mwajiri hakuweza kupeana hela alizo kuwa amekata kutoka kwa mshahara  wa mwajiriwa na alitakiwa  kurejesha hela hizo kwa mwajiriwa  na kwa wakati huo huo alipe fidia kwa shirika husika ambalo alirejelea katika kukata hela hizo kutoka kwa mshahara wa mwajiri kwa mujibu wa sehemu ya 19 (6) ya sheria ya ajira.Rejelea tovuti:http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/154245

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s