Mwajiriwa anafaa kutii maagizo ya kazini

Kwa mujibu wa sheria ya ajira, mwajiriwa ana wajibu wa kutii maagizo kazini na ya kisheria kutoka kwa mwajiri wake. Sehemu ya 44(4) ya Sheria Ya Ajira inaeleza kwamba mwajiriwa anatakiwa kutii maagizo razini na yanayozingatia matakwa ya sheria kutoka kwa mwajiri wake, kukosa kutii maagizo hayo kunaweza kutumiwa kama msingi wa kufutwa kazi moja kwa moja. Katika kesi ya Karimi dhidi ya KCB na wengine (2005) eKLR, mlalamishi alikataa kutekeleza agizo la uhamisho la mwajiri wake suala ambalo lilimpelekea kutimuliwa kazini, Kasango J. alishikilia kuwa huo ulikuwa ukaidi wa wazi wa agizo la mkuu wake kazini na kwamba uamuzi wa kumfuta kazi na kukatisha mkataba wa uajiri ulikuwa wa kufaa na wenye mashiko. Kwa maelezo zaidi tazama: http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/12639/

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s