Waajiri wana haki ya kutoa taarifa kwa waajiriwa wao kuhusu sheria za kazini pamoja na adhabu yake.

Wajiri wana haki ya kutoa taarifa kwa waajiriwa wao kuhusu sheria za kazini pamoja na adhabu yake. Sehemu  ya 12 (12a) ya sheria ya ajira inaeleza kuwa  mwajiri lazima atoe taarifa ya uataratibu wa adhabu au kuwataka waajiriwa kurejelea stakabadhi yenye utaratibu wa sheria hizo ambayo inafaa kuwepo ili kutumiwa n waajiriwa hawa. Katika kesi ya Jeremiah Okoth Olale dhidi ya kiwanda cha sukari cha Kibos pamoja na viwanda vinginevyohusika (2016) eKLR Mahakama ilisema kuwa kusimamishwa kazi kwa muda kwa mlalamishi kulikuwa kinyume cha sheria kwa sababu kuwa shutuma dhidi ya mlalamishi hazikuwa zimezingatiwa kwenye stakabadhi ya utaratibu wa sheria mle kazini uliotolewa na mwajiri kwa mujibu wa sheria ya ajira sehemu ya 12. Rejelea tovuti: http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/127060/

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s