Haki ya mwajiri kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya mwajiriwa.

Mwajiri ana haki ya kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya waajiriwa wake. Sheria katika ukawaida wake inaeleza kuwa adhabu hii ni hatua atakayochukua mwajiri katika kusuluhisha matatizo yanayohusiana na utendakazi pamoja na hulka wa mwajiriwa. Adhabu hii inaweza kuwasilishwa kwa njia ya maneno au maandishi au kwa kunyimwa baadhi ya faida za kimarupurupu . Madhumuni ya adhabu hii ni kurekebisha hulka wa wafanyikazi na kuweka hifadhi ya matukio kazini. Katika kesi ya Fredrick Saundu Amolo dhidi ya mwalimu mkuu shule ya ya upili ya mesto ya Namangan a wengine wawili (2014) eKLR  mahakama iligundua kuwa kulikuwa na sababu tosha za mwajiri kuasisi mikakati ya kumwachisha malalmishi kazi kwa muda kisha kusimamisha kabisa kikazi, mahakama iliamua kutoingilia na kuathiri mchakato huu mradi ufanywe kwa mujibu wa utaratibu unaofaa na haki. Hii ni haki aliyo nayo mwajiri yeyote ya kuchukua hatua za kinidhamu katika sehemu za kazi na kuhakikisha kuwa kuna amani katika mazingira ya kazi. Rejelea tovuti : http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/99956/%22

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s