Haki ya mwajiri kukagua utendakazi wa mwajiriwa.

Mwajiri ana haki ya kukagua utendakazi wa mwajiriwa.  Ni wajibu wa mwajiri kuamua maafisa walio bora Zaidi na wanaoweza kutathmini na kukagua utendakazi kama itakavyohitajika ili kubaini utendakazi wa mwajiriwa. Katika kesi ya Alex Wainaina Mbugua nan a kampuni ya uchukuzi wa ndege ya Kenya Airways (2017) eKLR  mahakama ilipendekeza kuwa mwajiri ana uwezo wa kutathmini utendakazi wa mwajiriwa  muda baada ya muda kuhakikisha kuwa mwajiriwa anatekeleza majukumu yake ipasavyo. Tathmini, utaratibu na vifaa vitakavyotumiwa katika ukaguzi huo vilevile ni jukumu la mwajiri. Mbali na hayo ni wajibu wa mwajiri kuamua maafisa walio bora Zaidi na wanaoweza kutathmini na kukagua utendakazi kama itakavyohitajika ili kubaini utendakazi wa mwajiriwa.rejelea tovuti:http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/144048

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s