Haki ya mwajiri kumpandisha mwajiriwa wake cheo.

Mwajiri ana haki ya kumpandisha mwajiriwa wake cheo . Sheria katika ukawaida wake hueleza kuwa kupandishwa cheo kwa mwajiriwa kutoka kwa cheo kimoja hadi kingine ambacho kina ujira wa juu kiasi, madaraka ya juu na majukumu zaidi huweza kufanyika katika shirika. Katika kesi ya E,D.K dhidi ya K.U (2014) eKLR, hata kama mahakama ilishikilia kwamba kulikuwa na kusudi la moja kwa moja la kumfuta mlalamishi kazi, mahamakama ilishikilia kuwa uwezo wa kupandisha mtu cheo  upo mikononi mwa mwajiri.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s