Haki ya mwajiri kutayarisha mkataba wa ajira

Mwajiri ana wajibu wa kutayarisha mkataba wa ajira unaoratibu yote ya kimsingi kuhusu ajira. Sehemu ya 9 (2) ya shria ya aajira yam waka 2007 inamtaka mwajiri kutayarisha mkataba wa ajira kwa njia ya maandishikuonuyesha kuwa mwajiriwa amekubali  kanuni na matakwa ya mwajiri. Katika kesi  ya  Fedelix Mwendwa  muli dhidi ya kiwanda cha saruji cha Bamburi. Mshtakiwa alikuwa alikuwa ametimiza matakwa ya sehemu ya 9 (2) ya sheria ya ajira , katika utaratibu wao wa kuajiri. Stakabadhi zote zilizohitajika kupeanwa kwa mwajiriwa kwa mujibu wa sheria zilikuwa zimepeanwa , mlalamishi alipokea haya , kuyakubali n ahata kutia sahihi  katika barua ya kukubali ajira. Uhusiano kati ya mwajiri na mwajiriwa ukawa umejengeka baada ya wajiriwa na mashaidi wake kutia sahihi kwenye barua ya kukubali ajira, Rejelea tovuti: http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/148880

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s