Haki ya mwajiri kuwataka waajiriwa kuwa waaminifu, waadilifu na wenye imani kwa mwajiri wao.

Mwajiri ana haki ya kuwataka waajiriwa wake kuwa waaminifu, waadilifu na wawe na Imani kwa mwajiri wao. Uhusiano baina ya mwajiri na mwajiriwa hujengeka katika Imani na kuaminiana. Mwajiriwa anatakiwa kutotenda kwa njia ambayo itahujumu imani na kuaminiana kati yao wawili, kwa hivyo  mwajiriwa hafai kamwe kutoa habari ambazo ni za siri na zinazohusu biashara ya mwajiri wake kwa mtu yeyote asiyefaa kuzijua.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s