Haki ya mwajiriwa kulipwa mshahara wa mwezi mmoja anapoachishwa kazi.

Mwajiriwa ana haki ya kulipwa mshahara wa mwezi mmoja iwapo ataachishwa kazi bila ilani. Sehemu ya 36 ya sheria ya ajira inaeleza kuwa mhusika yeyote katika ule mkataba wa ajira  anaweza kuuvunja mkataba  bila ilani kwa kumlipa mhusika mwenza kiasi cha hela ambacho mhusika mwenza angeweza kulipwa kwa muda huo wa ilani au kutegemea na muda ambao ilani inafaa kutolewa kwa mhusika mwenza kwa mujibu wa matakwa ya sehemu hiyo. Katika kesi ya Catherine Wayua Mutua dhidi ya Dazzle creation Limited (2017) eKLR  mahakama iliyaruhusu madai ya washtakiwa ambayo yalidai kuwa  mlalamishi alikuwa ameojiondoa kwenye ajira yake bila ilani na kwa sababu hiyo alipaswa kulipa washtakiwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kukosa kuwapa ilani ya kuacha kazi. rejelea tovuti:http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/142791/index.php?id=3479

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s