Haki ya waajiriwa wa jinsia ya kike kwenda likizo ya uzazi

Waajiriwa wa jinsia ya kike wataruhusiwa kwenda kwenye likizo ya uzazi iwapo wataweza kuwasilisha cheti  kuhusu afya yake kutoka kwa mhudumu wa afya  aliyehitimu au mkunga. Sehemu ya 29(4) ya sheria ya ajira inaeleza kuwa mwajiriwa wa jinsia ya kike ana haki ya kupewa likizo yake ya uzazi iwapo anaweza kuwasilisha cheti kuhusu afya yake kutoka kwa mhudumu wa afya  aliyehitimu au mkunga. Waajiriwa wote wa jinsia ya kike wanapata likizo ya aina hii wana baadhi ya haki zao ikiwemo ile inayoeleza kuwa mwajiriwa huyo ana haki ya kupata mshahara wake wote kwa kipindi hicho cha likizo, nyingine ni kwamba mwajiriwa huyo ana haki ya kurejea katika cheo kile kile alichokuwa au kingine cha juu miongoni mwa haki nyingine. Katika kesi ya Florence Wambui Gitau dhidi ya Eclipse international (2009) eKLR  mahakama ilipendekeza kuwa kwenda kwenye likizo ya kujifungua bila kupata ujira ni kinyume na sehemu ya 43 ya sheria ya ajira  yam waka 2007, hata hivyo mwajiriwa alienda kwenye likizo ya kujifungua anafaa kurejea na cheti cha uzazi iwapo atahitajika kuwasilisha.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s