Jukumu la mwajiriwa kutoingilia biashara ambayo ina ushindani na ile ya mwajiri wake.

Mwajiriwa ana wajibu wa kuhakikisha kuwa hajaingia katika biashara ambayo ina ushindani na mwajiri wake. Hi linaibuka kama kama zao la udanganyifu. Mwajiriwa ambaye atajihusisha na biashara sawia naya mwajiri wake atautia doa uhusiano baina yake na mwajiri wake, imani na pia matokeo yake kazini yataathirika.. Katika kesi ya  Iys and Tees limited dhidi ya Everlyne Madegwa na mwingine (2009) , mahakama katika ugunduzi wake kwamba mlalamishi alikuwa amewasilisha kesi iliyokuwa na ushahidi wa kutosha mahakama ilitoa agizo la kusimamisha. Ukweli katikakesi hiyo ulikuwa ni kwamba mshtakiwa wa kwanza aliigura ajira yake mnamo 10/2/2009. Alikuwa ameajiriwa katika kitengo cha uuzaji suala ambalo lilimpa nafasi ya kuingia kwenye majadiliano ya ugavi na kampuni kwa jina Bitdefender SRL. Katika kipindi cha ajira yake akiwa wakala wa mlalamishi wa pili, alitumia wadhifa wake  na kampuni ya Bitdefender SRL ili kuhakikisha kwamba kampuni ya usambazaji ya BD iliyoendeshwa na mlalamishi imezawdiwa kwa mlalamishi wa pili na muda mfupi baadaye kujiuzulu. Rejelea tovuti: http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/61470/

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s