Jukumu ya mwajiri kuhakikisha usalama na afya bora kazini.

Mwajiri ana wajibu kuwa kuhakikisha kuna afya bora na usalama katika sehemu za kazi. Sehemu ya 13 (1a)ya  sheria za afya na usalama katika sehemu za utendakazi inampa mwajiri wajibu wa kuwahakikishia afya bora na usalama wa watu wengine wanaoweza kuathirika kwa maamuzi yake kama mwajiri. Katika kesi ya Nickson Muthoka Mutavi dhidi ya taasisi ya utafiti wa kilimo nchini Kenya (2016) eKLR  mahakama ilielekeza kuwa inagawaje ni wazi kisheria kuwa mwajiri atatakiwa kuwajibika iwapo mwajiriwa atapata ajali au hasara ya aina yoyote akiwa kazini kwa sababu mwajiri hakuweza kuweka mikakati mwafaka kuzuia hay ani jukumu pia la mwajiriwa kuhakikisha kuwa amekuwa mwangalifu na kujichunga dhidi ya hasara na ajali ya aina yoyote ile anapotekeleza majukumu yake kazini. Rejelea wavuti: http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/117668/

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s