Mwajiriwa anafaa kufuata sheria kabla ya kujiuzulu kazini.

Mwajiriwa  hawezi akajiuzulu kazi ghafla ila ni sharti afuate na kuzingatia utaratibu uliopo kwa mujibu wa sheria. Sheria za leba  nchini Kenya zimesajiliwa chini ya sheria za ajira, sehemu ya 14(5) na 16 ambapo inaeleza kuwa mwajiriwa anaweza tu kuacha kazi iwapo kisheria atatoa ilani ya muda sawia na muda ambao angengoja ili kupata mshahara wa mwezi unaofuatia. Katika kesi ya Catherine Wayua Mutua dhidi ya Dazzle creation Limited (2017) eKLR  mahakama iliwaruhusu madai ya washtakiwa ambayo yalidai kuwa  mlalamishi alikuwa ameojiondoa kwenye ajira yake bila ilani na kwa sababu hiyo alipaswa kulipa washtakiwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kukosa kuwapa ilani ya kuacha kazi. rejelea tovuti:http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/142791/index.php?id=3479

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s