Wajibu wa mwajiriwa kutuma mavazi yafaayo kazini.

Mwajiriwa ana wajibu wa kutumia magwanda/mavazi  ya usalama yatakayotolewa na mwajiri. Sehemu ya 13 (1c) ya  sheria za afya na usalama katika sehemu za utendakazi inampa mwajiriwa wajibu wa kuhakikisha kuwa kila wakati amevaa mavazi ya usalama na kutumia vifaa vya kumkinga dhidi ya ajali. Vifaa hivi hutolewa na mwajiri ili kupunguza matukio ya ajali pamoja na kumzuia madhara ya kiafya kwa waajiriwa wake wakiwa kazini. Katika kesi ya Paul Oluoch Ominde dhidi ya  kampuni ya usambazaji wa nguvu za umeme Kenya Power (2016) eKLR mahakama ya rufaa katika kupinga uhamuzi wa mahakama iliyosikiliza mashtaka  ilisema kuwa kuna Ushahidi kuwa mshtakiwa alikuwa amempa mlalamishi kofia maalum ya kuvaa kazini ambayo bila sababu yoyote mlalamishi alikosa kuivaa akiwa anatekeleza majukumu yake na hivyo kuifanya korti kuzingatia makadirio tofauti. Rejelea tovuti: http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/123886

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s