Mwajiriwa anaweza tu kutimuliwa kazini kwa njia ya maandishi kwa mujibu wa sheria.

Mwajiriwa anaweza tu kutimuliwa kazini kwa njia ya maandishi  kwa mujibu wa sheria. Mwajiriwa anaweza tu kutimuliwa kazini kwa njia ya maandishi  kwa mujibu wa sheria. Kumekuwa na visa vingi ambapo watu wameweza kuachishwa kazi kwa njia ya mdomo. Kwa mujibu wa sheria ya Kenya utaratibu mwafaka wa kumwachisha mwajiriwa kazi ni kupitia kwa waraka ulioandikwa kutoka kwa mwajiri wake. Katika kesi ya Francis Nyangaresi Angwenyi dhidi ya Kampuni ya huduma za usalama ya Brinks kumwachisha mwajiriwa kazi bila sababu inayoweza kuthibitishwa , bila kumpa kikao cha kuweza kusikilizwa na kujitetea  ni kinyume cha matakwa ya sehemu ya 35, 41 na 43 ya sheria ya ajira  yamwaka 2007 amabayo inaeleza kuwa ni sharti mwajiriwa apewe ilani , aweze kusikilizwa  na kufutwa kwake  kufanywe kwa misingi ya haki. Bila kuzingatia taratibu hizi za kisheria  kufutwa kwake kazi kutakuwa kinyume na haki zake. Rejelea tovtui http://kenyala.org/caselaw/cases/view/170211/

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s