Haki ya mwajiri kumfuta kazi mwajiriwa bila ilani kwa mujibu wa sheria.

Sehemu ya 41(1) ya sheria ya ajira inafasili kufutwa kazi kuwa wakati ambapo mwajiri anavunja mkataba wa ajira bila ilani. Sharia inasema kwamba kufutwa bila ilani iwapo kupitia kwa matendo yake kazini  ameenda kinyume na wajibu wake na majukumu yake katika kandarasi ya ajira. Mienendo hii ni kama vile kukosa kuhudhuria , kuhudhuria kazi ukiwa mlevi, matokeo duni kazini, kutekeleza majukumu kivyolovya, kwenda kinyume na maagizo ya kisheria , kukamatwa na polisi kwa koa na kukosa kuachiliwa kwa dhamana ndani ya muda wa siku 14. Katika kesi ya John Kisaka  Masoni dhidi ya  kamuni ya sukari ya Nzoia EKLR nambari ya urejelezi 148 mwaka wa 2015 katika tovuti http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/127070.  Mahakama katika kutoa uamuzi wake kwenye hii kesi ilibaini kwamba sharia ya ajira ya 2007 katika ya sehemu ya 44(4) inasema kuwa mwajiriwa ambaye atafanya uhalifu ama atashukiwa kwa kuzingatia vigezo vyote vya haki kwamba amefanya uhalifu dhidi ya mwajiri wake  ama mali ya mwajiri wake atakuwa ametekeleza kosa ambalo linaweza kusababisha kufutwa kwake kazi bila ilani yoyote.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s