Mwajiri ana haki ya kuchukua hatua za kuwahakikishia haki wanaochukuliwa kuwa wanyonge.

Kwa mujibu wa sehemu ya tano ya sheria ya ajira , haitakuwa uonevu kwa mwajiri kuchukua hatua za kuhakikisha usawa katika sehemu za kazi ili kuhakikisha kuwa amezima uwepo wowote wa dhuluma dhidi ya makundi fulani ya watu kazini.Hatua hizi ni za kuhakikisha kwamba hakuna dhuluma zinazoendelezwa kwa watu ambao wamedhulumiwa awali kwa sababu ya hali ilivyokuwa.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s