Ni hitaji la sheri kwamba kandarazi ya huduma iwe katika maandishi.

Sehemu ya 9 ya ya sheria ya ajira ya mwaka 2007 inaeleza kuwa kanadarasi ya ajira ambayo inadumu kwa takriban miezi mitatu au zaidi ni sharti iwe katika maandishi. Hili ni kwa sababu iwapo kutaibuka suala linalohusu haki za mwajiri au mwajiriwa, jibu linaweza kuhitaji maelezo ya kina kuhusu yale ambayo makundi haya mawili yalikuwa yameagana awali na iwapo kuna masuala yanoayokinza misimamo yao. Katika kesi ya Miguna Miguna dhidi ya mkuu wa sheria (2012) eKLRmahakama ilitegemea Makala ya Gwyneth P.H katika sheria za ajira, Swet na Maxwell tole la saba kifungu cha 116 inasema ifuatavyo: “Makala yaliyoandikwa si sawa na mkataba ulioandikwa, mkataba husheheni haki na majukumu ya wahusika , Makala yaliyoandikwa huafanya tu kuonyesha kuwa wahusika hawa waili wameagana kuhusu suala fulani, na inapaswa kuwa ya uhakika, tofauti kati ya stakabadhi hizi mbili ni muhimu kwa sababu ili Makala hayo yachukuliwe kuwa mkataba ulioandikwa ni sharti sharti yawe yamerekodi maagano kamili ya wahusika hawa la sivyo itakuwa vigumu sana kuishawishi mahakama kuwa maagano hayo ni tofauti.  Iwapo ni Makala tu ya kawaida basi hawana mashiko yoyote ya kisheria na yanaweza kuchukukuliwa kimakosa kuwa rekodi ya maagano baina ya wahusika hawa waili” http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/85575/

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s