Waajiriwa wana haki ya kupata ujira sawa kwa kufanya kazi ya thamani sawa.

Waajiriwa wana haki ya kupata ujira sawa kwa kufanya kazi ya thamani sawa. sehemu ya 5 ya sheria za ajira  inaeleza kuwa mwajiri ni sharti awalipe waajiriwa wake,  Katika kesi ya V M K dhidi yaCatholic University of Eastern Africa Nairobi kesi nambari 1161 ya  mwaka 2010. Neno usawa na viwango vinavyokubalika yametumiwa katika muktadha viwango vinavyokadiriwa katika sehemu mbalimbali za utendakazi, viwango vya kitaifa vya utendakazi na viwango vya kimataifa vya utendakazi. Katika kesi hii, ujira uliokuwa ukitolewa kwa mlalamishi ukilinganishwa na wenzake kazini ambao waliajiriwa takriban wakati mmoja , na waliokuwa wakifanya kazi yenye thamani sawa haukuwa wa haki hata kidogo, isitoshe mazingira aliyopewa ya utendakazi hayakuwa ya viwango vinavyokubalika kwa mujibu wa viwango vya kitaifa vya utendakazi kama tayari tulivyokwisha kudhihirisha. Rejelea tovuti: http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/92535/

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s