Mwajiri ana wajibu wa kuandika/ kutengeneza kandarasi ya ajira.

Sehemu ya 9(2) ya sheria ya ajira  inaeleza kuwa ni wajibu wa mwajiri kutengeneza kandarasi ya ajira ambayo inataja vigezo vyote muhimu vya ajira hiyo na kuhakikisha kuwa mkataba huo umesomwa na kukubaliwa na mwajiriwa. Katika kesi ya Felix Mwendwa Muli dhidi ya Kampuni ya simiti ya Bamburi (2008) eKLR Mshtakiwa alikuwa ametimiza mhitaji ya sehemu ya 9(2) ya sheria ya ajira kupitia kwa ombi lao la uajiri. Yote yaliyohitajika kupeanwa kwa mwajiri kwa mujibu wa sheria yalipeanwa. Mwajiriwa akakubali na hata kutia sahihi barua ya kukubali toleo la kazi. Uhusiano kati ya mwajiri na mwajiriwa ukaanzishwa na  mashahidi wakatia sahii barua ya kukubali toleo lile la kazi. Rejelea tovuti: http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/148880/

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s