Mwajiri ana haki ya kusalia na hifadhi ya stakabadhi za mwajiriwa hata baada ya kumwachisha mwajiriwa kazi.

Sehemu ya 10(6) ya sheria ya ajira inamruhusu  mwajiri kuhifadhi taarifa na stakabadhi za mwajiriwa hata baada ya kumwachisha kazi. Mwajiri ana hadi miaka mitano kuhifadhi stakabadhi hizi. Katika kesi ya Silas Mutwiri dhidi ya Milti-CargoHandling Services Limited [2013] eKLR Mahakama ilishikilia kuwa sehemu ya 74 ya sheria za ajira inamtaka kila mwajiri kuhifadhi rekodi za ajira za waajiriwa na kuziwasilisha kortini ka Ushahidi. Hili si jukumu la mwajiriwa. Hili ni jukumu la mwajiriwa kila wakati kwa kuu wana nafasi kuu katika ule uhusiano wa ajira. Katika kesi hii rekodi hizo hazikuweza kuwasilishwa kortini. Kwa sababu ya ukosefu huu wa rekodi kortini , faida ya uamuzi ilimwendea mwajiriwa  ambaye alikuwa mlalamishi. Katika kesi hii hakukuwa na rekodi kuwa likizo, marupurupu ya kufanya kazi kwa muda wa ziada, ujira kwa mujibu wa sehemu ya 35(6) zilifanywa , na kwa hali hiyo madai ya mlalamishi yalichukuliwa kuwa ya kweli.http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/93212

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s