Kandarasi ya ajira huongozwa na sheria za utendakazi (leba) kabla ya sheria za kawaida za mikataba.

Kandarasi ya ajira ya ajira hujikita katika vigezo maalum ambavyo vimedhibitiwa na sheria na ikakitwa katika matakwa ya kifungu cha 41 cha KATIBA kinyume na mikataba ya kawaida ambayo imethibitiwa tu na sheria ya mikataba. Katika kesi ya Esther Mbinya dhidi ya Benki ya National Bank of Kenya Limited (2005) eKLR ambapo mahakama ilibaini kuwa shria ya ajira hujikita katika vigezo vya ajira ambavyo vimedhibitiwa na sheria na kukitwa katika kifungu cha 41 cha KATIBA kinyume na mikataba ya kawaida ambayo imethibitiwa tu na sheria ya mikataba. Katika hali hiyo mahali ambapo mwajiriwa ameonesha kuhujumiwa kwa haki yake , haki hizo lazima ziangaliwe kwa mujibu wa sheria iliyopo na vilevile kwa mujibu wa KATIBA. Kesi hii pia inapatikana kwenye tovuti hii; Rejelea tovuti:http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/116686

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s