Haki ya kupata fidia inakamilika baada ya miezi kumi na miwili baada ya kutokea kwa ajali.

Haki ya kupata fidia inakamilika baada ya miezi kumi na miwili baada ya kutokea kwa ajali. Sehemu ya 27 ya sheria ya fidia ya majeraha ya kazini inaelekeza kuwa kuisha kwa haki ya kufaidi fidia kunafanyika wakati ambapo ajali haikuripotiwa kwa mwajiri ndani ya miezi kumi na miwili baada ya kutendeka kwa ajali. Katika kesi ya Imara steel mills dhidi ya kampuni ya bima ya Heritage Kenya na wengine thelethini na wanane, Sehemu ya 22 (5) nay a 27 ya sheria kuhusu fidia ya majeraha yatokeayo kazini inaelekeza kuhusu haki ya kujuzwa kuhusu tukio la ajali na kuisha kwa muda wa kupata fidia. Sheria hii  inaweka muda wa makataa wa miezi kumi na miwili na kutaja kuwa mwajiriwa hazuiliwi kupiga ripoti kuhusu kesi hiyo kwa muda wowote ule. Rejelea katika tovuti : http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/126983/index.html

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s