Mwajiriwa ambaye amepata jeraha akiwa angali kazini ana haki ya kupewa fidia isipokuwa iwapo jeraha hilo lilitokea kutokana na ukosefu wake wa uangalifu.

Sehemu ya 10 ya sheria kuhusu fidia kwa majeraha ya kazini inahusiana na haki ya fidia na inashughulika haki za waajiri za kupewa fidia. Pia inaeleza kuhusu nyakati ambazo haki ya mwajiri ya kupata fidia huenda isizingatiwe kwa sababu ya mchango wa mwandishi kwa jeraha lililotokea, ama ukweli ukitokea kuwa jeraha lilitokea wakati amabpo mwajiriwa hakuwa anatekeleza majukumu yake rasmi. Hihi linaweza likadhihirishwa na ukweli kwamba kwa wakati ambapo mwajiriwa alipata jeraha , am hata kufa, mwajiriwa huenda alikuwa anafanya jambo ambalo linakiuka sheria  au maagizo au kutekeleza wajibu huo bila maagizo kutoka kwa msimamizi wake. Mbali na haya sheria hii inaeleza kuwa shughuli ya kuondoka na kuingia kazini huchukuliwa kuwa mwajiri yumo kazini. Hili linamaanisha kuwa ikiwa mtu ataumia akiwa anasafiri kwa njia ya basi kuelekea kazini, jeraha hilo litachukuliwa kuwa ambalo lilitokea akiwa katika harakati za kazi na basi mwathiriwa huyo ana haki ya kupewa fidia.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s