Mwajiriwa ana jukumu la kukubali kupokea matibabu kusudi jeraha lisiwe baya Zaidi.

Sehemu ya 13 ya sheria kuhusu fidia ya majeraha ya kazini inasema kuwa iwapo mwajiriwa atapata jeraha akiwa kazini lakini kwa sababu ya ukosfu wa makini majeraha hayo yakawa na athari zaidi, mkurugenzi anayesimamia masuala ya utoaji fidia anaweza kukosa kumfidia mwathiriwa huyo. Mfano ni pale ambapo mfanyikazi anaemia akiwa kazini kisha anakosa kupiga ripoti au kufika hospitalini ili kupata matibabu, kisha ukosefu huu wa kuenda hospitali ukayafanya majeraha hayo kuwa mabaya zaidi, mkurugenzi wa fidia anaweza kudinda kumpa mtu huyo fidia kwa sababu chanzo cha majeraha hayo kuwa mabaya zaidi ni mwajiriwa mwenyewe. Sheria hii inasema kuwa mwajiriwa hawezi kupewa fidia iwapo atapata jeraha na hata kufa kwa sababu yake kukosa kuruhusu kupata matibabu. Katika kesi ya Redland roses limited dhidi ya Hiribo Mohammed Fukisha (2005) eKLR, ingawa kuwa masuala mengi yanayozingatiwa wakati wa utoaji wa fidia chini ya sheria ilivyo katika kifungu  cha S.35(1) (b) inaeleza kuwa vipengele vinanyoelekeza kuhusu utoaji wa fidia za majeraha n ahata vifo vinavyosababishwa na ajali kazini  mutatis  mutandis inatekelezwa katika utoaji wa fidia kwa wanaaoathiriwa na magonjwa yanayotokana na utendakazi wao.http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/105786

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s