Mwajiriwa ana wajibu wa kupeana ilani iwapo amepatwa na maradhi yanayotokana ana kazi anayoifanya mwajiriwa haraka iwekanavyo na katika maandishi.

Mwajiriwa ana wajibu wa kupeana ilani iwapo amepatwa na maradhi yanayotokana ana kazi anayoifanya mwajiriwa haraka iwekanavyo na katika maandishi. Sehemu ya 41 ya sheria kuhusu fidia ya ajali zitukiazo katika sehemu za kazi iaelekeza kuwa kunapotukia maradhi yoyote yanayohusiana na kazi mwajiriwa lazima apige ripoti katika maandishi haraka iwezekanavyo. Katika kesi ya Julius Chacha Mwita na kampuni ya uchukuzi wa ndege ya Kenya airways (2015) eKLR, Mahakama ilielekeza kuwa: Mlalamishi kwa kuzingatia sehemu ya 21(3) ya sheria kuhusu usalama na afya ya sehemu za makazi ambayo inasema kuwa mahali ambapo ajali imetokea kazini na kusababisha ajali ambayo haijaleta maafa, mwajiri atatuma ujumbe kwa njia ya maandishi kwa afisa wa afya na usalama wa sehemu za makazi ndani ya siku saba tangu tukio. Mwajiriwa ana sharti la kutoa ujumbe kuhusu tukio kwa mwajiri wake kwa njia ya mdomo. Mahakama ilisisitiza zigatio hili katika kesi ya  Julius ChachaMwita na kampuni ya uchukuzi wa ndege ya Kenya airways (2015) eKLRhttp://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/112319

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s