Sheria inaruhusu kuachishwa kazi bila ilani kwa wafanyikazi ambao hufanya kazi na kulipwa kila siku.

Sheria inaruhusu kuachishwa kazi bila ilani kwa wafanyikazi ambao hufanya kazi na kulipwa kila siku. Sehemu ya 35 ya sheria ya ajira  inaeleza kuwa mkataba wa huduma unamtaka mwajiri alipe mwajiriwa kila siku unamruhusu mwajiri kumwachisha kazi bila ilani. Katika kesi yaJohn Kikai Masoni dhidi ya kampuni ya sukari ya nzoia (2016) eKLR ELRC nambari 148 ya mwaka 2015 inayopatikana katika tovuti: http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/127070/ mahakama katika kuamua kesi hii ilibaini kuwa sheria ya ajira yam mwaka 2007 sehemu ya 44(4)g ambayo inaeleza kuwa  “mwajiriwa ambaye atatenda , ama kwa misingi inayokubalika atashukiwa kuwa ametekeleza kesi ya jinai dhidi ya mwajiri wake na yenye athari kwa mwajiri wake ama mali ya mwajiri inatosha kuwa kosa tosha la kumfanya atimuliwe kazini bila ilani.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s