Waajiri wana haki ya kudhibiti masaa ya kufanya kazi mradi wawalipe waajiri kwa masaa wanayofanya kazi

Waajiri wana haki ya kudhibiti masaa ya kufanya kazi mradi wawalipe waajiri kwa masaa wanayofanya kazi.Sehemu ya 27 ya sheria ya ajira  inaeleza kuwa mwajiri ana uhuru wa kuthibiti masaa ya utendakazi  wa kila mwajiriwa kwa mujibu wa sheria ya ajira ama sheria yoyote iliyoandikwa. Katika kesi ya Daudi Haji dhidi ya  Kenya Ports Authority Kesi nambari 14 ya mwaka  2012 Mombasa. Mlalamishi katika hii kesi alikuwa amefanya kazi ya ziada kwa masaa 4,128 kwa sababu ya upungufuwa wafanyikazi . kazi ambayo hakulipwa. Katika kuruhusu malalamishi haya jaji Radido alibaini kuwa, “kuthibithi masaa ya kufanya kazi ni mojawepo ya masuala yaliyoibua suintofahamu katika sekta ya leba, kufanya kazi  kwa masaa ya ziada kunahatarisha afya ya wafanyikazi pamoja na familia zao. Kongamano la kwanza la ILO lilikubaliana mnamo mwaka wa 1991 kuwa ni vyema kuwepo kwa muda kiasi toshelezi cha kufanya kazi na vilevile muda wa mapumziko kwa wafanyikazi………. Mlalamishi hakujitolea kufanya kazi ile kwa hiari. Aliambiwa afanye kazi hiyo na mshtakiwa kwa sababu ya upungufu wa wafanyikazi kule kazini.http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/84192

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s