Waajiri waripoti matukio yoyote ya hatari kule kazini kwa wakubwa/wasimamizi wao.

Sehemu ya 13(1e) ya sheria ya usalama na afya ya makazi inaelekeza kwamba mwajiriwa ni sharti apige ripoti kwa mkubwa wake kazini kuhusu tukio lolote ambalo ana sababu tosha kuwa linaweza kusababisha janga ambalo haliwei kuepukika au kurekebishwa. Katika kesi ya Julius Chacha Mwita  dhidi ya Kenya Airways limited na mwingine (2015) eKLR. Mahakama ilisema yafuatayo: Mlalamishi kwa kuzingatia sehemu ya 21(3) ya sheria kuhusu usalama na afya ya sehemu za makazi ambayo inasema kuwa mahali ambapo ajali imetokea kazini na kusababisha majeraha  ambayo hayajaleta maafa, mwajiri atatuma ujumbe kwa njia ya maandishi kwa afisa wa afya na usalama wa sehemu za makazi ndani ya siku saba tangu tukio. Mwajiriwa ana sharti la kutoa ujumbe kuhusu tukio kwa mwajiri wake kwa njia yamdomo. Katika kesi hii mwajiriwa alipiga ripoti kabla ya kukumbizwa hospitalini. Rejelea tovuti:http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/112319

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s