Haki ya mwajiriwa kujiuzulu kutoka kwa ajira yake.

Mwajiriwa ana haki ya kujiuzulu kutoka kwa ajira yake. Kujiuzulu ni ilani kuwa  mtu anaacha ajira yake. Sheria  za utendakazi  nchini Kenya ziko chini ya fungu la sheria za ajira , sehemu ya 14(5) na 16. Masharti ya  kuvunja mkataba wa ajira hutumika hapa . masharti haya ni: Waajiriwa  ambao hupokea malipo kila mwezi ni sharti wawajuze waajiri wao kabla ya kuacha kazi. Iwapo mwajiriwa hatampa mwajiri ilani basi atalazimka kumlida kiasi cha sawa na mshahara wa muda huo wa ilani. Iwapo kujiuzulu kwa mwajiriwa kunakiuka maagano ya mkataba wa kazi , lazima wawe tayari kufidia ukiukaji huo wa mkataba. Katika kesi ya Kennedy Obala Oaga dhidi ya Kenya ports Authority (2008) eKLR, mahakama ilishikilia kwamba mlalamishi alikuwa hajajiuzulu kwa kuzingatia matakwa ya sheria  na madai yake kuwa alifutwa kazi bila ilani muda baada ya kujiuzulu hayakuwa na mashikokisheria. Rejelea tovuti:http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/149667/

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s