Haki ya mwajiriwa kupata likizo ya kila mwaka.

Mwajiriwa ana haki ya kupata likizo kutoka kazini ya kila mwaka. Kwa mujibu wa sehemu ya 28 ya sheria ya ajira , likizo ya kila mwaka ni siku ishirini na moja za kazi ambazo mwajiriwa ana haki ya kulipwa licha ya kutokuwa kazini. Likizo hii haihusishi na siku za kusherehekea sikukuu mbalimbali. Wakati ambapo mwajiriwa amefanya kazi na mwajiriwa wake kwa miezi kumi na miwili mtawalia basi ana haki ya kupewa likizo yake ya kila mwaka. Mwajiri anaweza kukoso kwenda likizoni na kuhifadhi siku zake za likizo lakini ni sharti aende likizoni baada ya miezi 18. Kutofanya hivyo kutamlazimu mwajiri kutupilia mbali siku zilizohifadhiwa. Siku za wikendi na sikukuu huwa hazihesbiwi kama sehemu ya hizi 21 za likizo. Siku hizo huhesabiwa wakati ambapo mwajiriwa anapaswa kuwa kazini. Hoja hii ilizungumziwa katika kesi ya  muungano wa utafiti wa kitaifa na wahusika katika taasisi yawafanyikazi wa  Kenya dhidi ya Kenya Industrial Research and Development Institute (KIRDI) [2018] Rejelea tovuti: http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/158370/

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s