Haki ya mwajiriwa kutambua muungano wa waajiri

Kila mwajiriwa ana wajibu wa kutambua muungano wa waajiri aliojiunga nao mwajiri wake mwajiri wake. Sehemu ya 54 ya sheria ya mahusiano katika sekta ya leba inayohusiana na utambuzi wa miungano ya wafanyikazi na mwajiriwa  na inaeleza kuwa :
“mwajiriwa, akiwemo mwajiririwa katika sekta ya umma  ana wajibu wa kutambua ana wajibu wa kutambua muungano wa mwajiri wake kwa minajili ya majadiliano ya pamoja yanayohusiana na utendakazi wao, katika kesi ya Abyssinia Iron and steel limited dhidi ya Muungano wa wafanyikazi katika sekta ya uhandisi nchini Kenya (2016) eKLR . kesi hii ilihusu mgogoro wa kibiashara baina ya Abyssinia  na muungano wa wafanyikazi katika sekta ya uhandisi nchini Kenya , mshtakiwa wa kwanza akiwa ni muungano huo ukirejelewa kama “the union” uliokuwa ukiwasilisha masuala ya wafanyikazi wote wa  Abbysinnia . Muungano ulidai kuwa licha ya juhudi za kuingia katika maelewano na Abyssinia juhudi zao ziligonga mwamba kila mara na mkataba wa maelewano haukuweza kutiwa sahihi. Katika kupinga madai ya  Abyssinia walidai kuwa hawajamzuia mwajiriwa yeyote kujiunga na muungano wa wafanyikazi, Abyssinia waliendelea kwa kuelezea kuwa hatua ya pekee waliyokuwa wameichukua ni kuwatoa waajiriwa wao wote kutoka Jokali na kwa sababu hiyo hawakuwa na waajiriwa ambao wangelazimu mkataba ya maagano kutiwa sahihi. Tatizo kuu katika kesi hii ni iwapo kuwatoa   waajiriwa kutoka jokali kungesababisha mwajiri kukosa kutambua muungano huu wa waajiriwa au wawakilishi wake. Ni jambo la wazi kuwa isipokuwa kwa upungufu uliopo katika kifungu cha 24 cha KATIBA , ni haki ya kila kiKATIBA ya kila mfanyikazi hata wale ambao walitolewa kwa maeneo mengine kuwa washirika katika miungano ya wafanyikazi,  na kwa mujibu wa kesi hii mwajiri ana wajibu wa kutambua miungano inayowakilisha masuala ya wafanyikazi.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s