Mwajiriwa ana wajibu wa kuwatunza waajiriwa wenza

Mwajiriwa ana wajibu wa kuwatunza waajiriwa wenza. Mwajiriwa ana wajibu wa kuwatunza waajiriwa wenza. Sheria katika ukawaida wake, mwajiri anapopatikana na hatia kuhusu kumsababishiwa mwajiriwa jeraha kazini, jeraha ambalo lilisababishwa  na mwajiriwa mwenza , mwajiriwa aliyejeruhiwa ana haki ya kufidiwa na mwajiriwa aliyemsababishia jeraha. Katika kesi yay a Lister dhidi ya Romford Ice (1957) AC 555 mwajiriwa wa kampuni hiyo alimjeruhi mwenzake kazini. Aliyejeruhiwa akaishtaki kampuni na akalipwa fidia. Kampuni ya bima ya mshtakiwa ikampeleka aliyesababisha majeruhi hayo kortini  kwa misingi ya haki ya kupitisha gharama hiyo ya fidia, mahakama ilishikilia kwamba kulikuwa na ukiukaji wa majukumu na kampuni ilifaa kufidiwa na mwajiriwa huyo kwa kukiuka majukumu yake ya mkataba.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s