Haki ya kulipwa malipo sawa na kazi inayofanywa

Mwajiriwa ana haki ya malipo sawa na kazi anayoifanya. Kifungu cha 47(1) na 41(2) ya KATIBA inampa kila mtu haki ya usawa katika usimamizi, ujira sawa na kazi anayoifanya, na mazingira bora ya utendakzi. Katika kesi ya Fredrich Ouma dhidi ya Spectre International ltd (2003). Mahakama ilibaini ifuatavyo: “Ujira wa haki katika mtazamo wangu unamaanisha ujira ambao ni toshelevu na unalinganana huduma zilizotolewa. Ni muhimu kuwa mwajiri na mwajiriwa kufanya mazungumzo na kuelewana kuhusu malipo. Kujua haya kutampa mwajiri nafasi nzuri ya kupanga bajeti ya malipo yake. Matayarisho hayo yanaweza kuhusisha kuchukua mkopo ili kumwezesha kulipa mishahara ya wafanyikazi wake.”

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s