Haki ya mwajiri kumwondoa mwajiriwa kazini kwa ajili ya kupunguza gharama ya utendakazi

Mwajiri ana haki ya kumwondoa mwajiriwa kazini kwa ajili ya kupunguza gharama ya utendakazi. Sheria ya ajira nchini Kenya ya mwaka 2007 inalifasili suala hili kama kupoteza ajira  bila kosa lolote upande wa mwajiriwa . kuachishwa huku kwa kazi hufanyika wakati ambapo huduma za mwajiriwa huyo hazihitajiki tena. Katika kesi ya Tekom Kenya dhidi ya John Ochanda (2013) eKLR, Mahakama katika uamuzi wake ilisema yafuatayo: “Sheria iko wazi kuhusiana na utaratibu unaofuatwa wakati ambapo mwajiri amefikia uamuzi wa kumwachisha mwajiriwa kazi kwa ajili ya kupunguza gharama ya utendakzi, kubadilisha mkondo wa utendakzi, ama kutangaza kutoahitajika tena kwa ujuzi wa baadhi ya waajiriwa wake. Mwajiri baada ya maagano ya kumwachishwa mwajiriwa kazi atahitajika kumlipa marupurupu yake kwa kiwango Fulani kwa kila mwaka aliofanya kazi.’ Rejelea tovuti:http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/96237/

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s