Haki ya mwajiriwa kutobaguliwa kwa kazi

Mwajiriwa ana haki ya usawa na kutobaguliwa katika sehemu za kazi. Kubaguliwa katika sehemu za kazi hutokea wakati ambapo mwajiriwa anatendewa tofauti ama kwa njia ya mapendeleo kwa sababu ya hali ambazo hazihusiani na utendakazi wake hali ambazo aghalabu huzingatiwa ni rangi, jinsia, dini. Msimamo wa kisiasa, chimbuko, umri na masuala ya UKIMWI. Katika kesi ya V M K dhidi yaCatholic University of Eastern Africa, kesi nambari 1161 0f 2010, mlalamishi alipewa fidia ya shilingi 6,971,346/- kwa sababu ya kubaguliwa katika sehemu za kazi kwa muda wa miaka saba kwa sababu ya jinsia, ujauzito na hali yake ya UKIMWI. Mlalamishi alinyimwa kandarasi ya kudumu kwa sababu alikuwa anaugua ugonjwa wa UKIMWI. Tazama: http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/92535/

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s