Wajibu wa mwajiri kumueleza mwajiriwa sababu ya kufutwa kazi.

Mwajiri ana wajibu wa kueleza kwa mwajiriwa wake sababu ya kumfuta kazi moja kwa moja huku waajiriwa wenza au afisa wa muungano wa wafanyikazi akiwa anasikiliza. Kwa mujibu wa sehemu ya 41(1) ya sheria ya ajira , mwajiri anafaa, kabla ya kuvunja mkataba wa ajira wa mwajiri wake , kwa misingi ya ukosefu wa nidhamu kazini, utendakazi duni, ama ulemavu amweleze mwajiriwa huyo kwa lugha anayoielewa sababu ya kumfanya kufutwa kazi , mwajiriwa anafaa kuwa na mwenzake hapo na mwakilishi wa muungano wake wa wafanyikazi maelezo hayo yanapotolewa. Katika kesi ya Mary Chemweno  Kiptui dhidi ya Kenya pipeline Company (2014) eKLR, sehemu ya 41 ya sheria ya ajira ambapo mwajiri amaefeli kuzingatia kaida zilizopo, matokeo yoyote yatachukuliwa kuwa yasiyo ya haki na mabayo hayakumpa mwajiriwa muda wa kuweza kusikilizwa kabala ya uamuzi kufanywa na iwe mbele ya mwajiriwa mwenza ambaye atamchagua mwenyewe. Kabla mwajiri hajafikia uamuzi wa kumwachisha kazi mwajiriwa ni sharti awe na sababu tosha zinazohusiana na masuala kama vile  ukosefu wa nidhamu kazini, utendakazi duni, ama ulemavu.http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/96215/

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s