Mwajiri ana wajibu wa kuwapa waajiwa wake vifaa/mavazi ya kujikinga dhidi ya madhara yoyote wakiwa kazini

Mwajiri ana wajibu wa kuwapa waajiwa wake vifaa/ mavazi ya kujikinga dhidi ya madhara yoyote wakiwa kazini. Sehemu ya 101 ya sheria ya afya na usalama katika sehemu za makazi inaeleza kuwa kila mwajiri anatoa  na kutunza kwa minajili ya matumizi ya waajiriwa wake katika sehemu za kazi  iwapo waajiiriwa hao wanafanya kazi katika sehemu ambazo ni nyevunyevu, zina vijasumu vinavyoweza kuwaathiri , ni sharti kuwe na mavazi ya kujinga dhidi ya athari hizi ikiwemo glavu, viatu, miwani na vifaa vya kufunika kichwa, Katika kesi ya Super Foam Limited dhidi ya Dominic Njuguna Gaitho [2016] eKLR CA 191 ya mwaka wa 2011. Mahakama iliruhusu rufaa hiyo huku ikisema kuwa mlalamishi ambaye alikuwa ni msimamamizi wa mshtakiwa kazini na alikuwa ana wajibu wa kuhakikisha usalama wa waajiriwa chini ya sehemu ya 101 (1) ya sheria ya afya na usalama wa sehemu za makazi. http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/120343

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s