Kila mwajiri ana haki ya kuhahaikisha kuwa mazingira zake za utendakazi ni salama kwa wajiriwa wake.

Kila mwajiri ana haki ya kuhahaikisha kuwa mazingira zake za utendakazi ni salama kwa wajiriwa wake. Sheria ikizingatiwa katika uawaida wake, mwajiri ana wajibu wa kuwatunza na kuwapa usalama waajiriwa wake wote katika hali zozote zile  ili wasije wakawa katika hatari yoyote ile. Katika kesi ya Samson Emuru dhidi ya kampuni ya Ol Suswa Farm Ltd Nakuru HCCA No. 6 of 2003: Mahakama ilieleza kuwa: “wajibu wa mwajiri wa kumhakikishia mwajiriwa wake mazingira safi ya kufanyia kazisi kukinga tu dhidi ya hatri zisizo za kawaida na zinazojulikana nao ila pia ni kwa sababu ya kupafanya mahali pa kazi kuwa salama kwa minjili ya kufanyia kazi …, wajibu huu basi ni wa juu zaidi kuliko kawaida, mkuu kazini ana wajibu wa kuhakikishakuwa walio chini yake kazini wanachukua hatua za kuhahakikisha kwamba wako salama. Rejelea tovuti: http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/19500

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s