Mwajiri ana haki ya kususia kazi ambayo inayatia maisha yake hatarini.

Kwa mujibu wa sehemu ya 14 ya sheria ya afaya na usalama katika sehemu za kazi inampa mwajiriwa uhuru wa kukataa kazi  ambayo anaamini kuwa si salama kwake au kwa waajiri wenza. Mwajiri ambaye pia anahisi kwamba fujo katika sehemu ya kazi inahatarisha Maisha yake ana uhuru wa kuikataa kazi hiyo. Katika kesi ya Makala Mailu Mumende  dhidi ya klabu ya gofu ya Nyali [1991] KLR 13 iliezwa kuwa “  hakuna mwajiri katika nafasi ya mshtakiwa ambaye angeweza kupeana  salama kwa mfanyikazi aliyekuwa katika aina ya kazi ambayo mlalamishi alikuwa akifanya, amabyo ni hatari sna, mwajiri ana jukumu la  kuchukua hatua kwa mujibu wa ajira , ili kupunguza hatari au majeraha kwa waajiri. Ni jukumu la mwajiri kuhakikisha kuwa waajiriwa wake wana mazingira salama ya utendakazi wa waajiriwa wao.http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/11516/

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s