Kila mwajiri ana haki ya kupata siku moja ya mapumziko katika juma

Kwa mujibu wa sehemu ya 27 ya sheria ya ajira , mwajiri anaweza kuthibiti masaa ya utendakazi ya mwajiriwa wake , lakini katika kufanya hivyo , anafaa kuhakikisha kwamba angalau mwajiriwa ana siku moja kwa wiki ya mapumziko, hili ni ongezeko kwa zile siku 21 za mapumziko alizo nazo kila mwajiriwa katika mwaka. Katika kesi ya Javan Were Mbango dhidi ya kampuni ya H.young (2012) eKLR ,kwamba mlalamishi alikuwa ameajiriwa na mshatakiwa kama msimamizi hadi wakati alipoachishwa kazi, alidai kuwa baada ya kuachishwa kazi hakulipwa fidia ya siku thelatini ambazo hakupewa ilani, vilevile hakulipwa kwa siku 21 za mapumziko alizofanya kazi, siku nne , moja ya kila wiki alizofanya kazi, zote hizi hazikufidiwa kwa mujibu wa sheria ya ajira. Mahakama ilishikilia kuwa hata siku hizo za mapumziko zinafaa kulipwa, mwajiriwa ana haki ya siku moja ya mapumziko katika juma, mkataba wa mwajiri n mwajiriwa hauwezi kuibadilisha sheria hii ilivyo katika sheria ya ajira. Rejelea tovuti: http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/87349

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s